Tuambie kuhusu mahitaji ya tukio lako kisha tutaandaa pendekezo la kina maalumu kwa ajili yako tu
REQUEST PROPOSAL
Sasa Imefunguliwa
Johari Rotana inatoa aina mbalimbali ya vifaa na zana ili kuhakikisha mkutano au tukio lako linakwenda vizuri. Ni hoteli pekee jijini Dar es Salaam inayotoa intaneti ya Fibre Optic, inayohakikisha idadi kubwa ya wageni wanapata Wi-Fi bila kuathiri kasi ya intaneti.
Vifaa na zana hujumuisha:
Mifumo ya taa
Taa zenye mwanga hafifu kwa vyumba vyote vya mikutano
Mwanga wa asili wa mchana
Mtambo wa kupangilia mfumo wa taa
Projekta
Projekta za Juu
Skrini za projekta za kiotomatiki
Vionyeshi
Bango kitita na kalamu
Mfumo wa muziki
Mtambo wa kuchanganya chaneli
Spika zilizojengewa ndani
Vipaza sauti vyenye waya na visivyo na waya
Zana za ziada zinaweza kutolewa ikiwa zitahitajika.
This website uses cookies so that we can improve your user experience and measure the performance of our site. If you continue on this website, you will be providing your consent to our use of cookies.