Sign in or Join
 Italiano My Booking
Select Dates
Book Now
JOHARI ROTANA
Accommodation
Vyumba na SuiteClub RotanaVyumba vya Kupanga
Vyumba na Suite
Sea View / City View Room - King Bed
Furahia mandhari nzuri ya bandari au jiji lililochangamka kupitia madirisha yenye urefu wa kutoka kwenye sakafu hadi kwenye dari ukiwa kwenye chumba cha kisasa aina ya Classic Room kilichotengenezwa vizuri chenye ukubwa wa mita za mraba 40 kilichopo ghorofa ya 17 hadi 22. Kukiwa na samani za kisasa, meza ya kufanyia kazi na kitanda cha ukubwa wa King, unaweza kupumzika kwa starehe.
2
40m2
1 x -nu-134
Book Now
Learn More
Sea View / City View - Twin Bed
Furahia mandhari nzuri ya bandari au jiji lililochangamka kupitia madirisha yenye urefu wa kutoka kwenye sakafu hadi kwenye dari ukiwa kwenye chumba cha kisasa aina ya Classic Room kilichotengenezwa vizuri chenye ukubwa wa mita za mraba 40 kilichopo ghorofa ya 17 hadi 22. Kukiwa na samani za kisasa, meza ya kufanyia kazi na vitanda pacha, unaweza kupumzika kwa starehe.
2
40m2
2 -nu-136
Book Now
Learn More
Suite with lounge - City View / Sea View
Furahia ukaaji wako wa kibiashara au starehe kwenye chumba chetu kikubwa cha mita za mraba 65 aina ya Classic Suite kikiwa na sebule ya kupumzikia iliyojitenga yenye sofa za kustarehesha na viti, jiko, na mwonekano mzuri wa anga la jiji au bandari ya kupendeza. Lala usingizi mnono kwenye kitanda cha kifahari aina ya king na furahia vistawishi vya kisasa vya chumbani, ikiwa ni pamoja na muunganisho wa intaneti na TV ya kisasa ya LED.
2
65m2
1 x -nu-134
Book Now
Learn More
One Bedroom Suite with lounge access
Furahia mandhari nzuri ya bandari au jiji lililochangamka huku ukiwa katika eneo lako tulivu la kulia chakula na sebule ya kupumzikia unapokuwa umeingia kwenye chumba cha mita za mraba 75 cha Deluxe Suite. Kikiwa na mwanga wa asili wa kutosha, jiko lenye zana zote na zana za kisasa za kurahisisha ukaaji wako ikiwa pamoja na TV ya Kisasa ya LED yenye chaneli za HD na intaneti ya kasi ya juu, ni chaguo zuri kwa wasafiri wa biashara na mapumziko wanaojua mambo mazuri.
2
0m2
-
Book Now
Learn More
Spacious Room – King Bed
Pumzika au fanya kazi ukiwa kwenye chumba cha Premium Suite cha ukubwa wa mita za mraba 85 chenye samani nzuri ambacho kinafaa kwa ajili ya wasafiri wa biashara au mapumziko wanaothamini vyumba vyenye nafasi kubwa na ufahari. Furahia matumizi ya eneo la chakula na sebule la kupumzikia huku ukiangalia bandari ya Dar es Salaam au anga yake, jiko lenye vifaa vyote na meza ya kufanyia kazi yote kwaajili ya kukurahisishia ukaaji wako.
2
85m2
1 x -nu-134
Book Now
Learn More
Ambassador Suite - Sea View with Partial City View
Starehe kwenye chumba kizuri cha mita za mraba 105 cha Ambassador Suite chenye nafasi ya kutosha kufanya kazi, kupumzika au kufurahia mandhari nzuri ya jiji au bandari. Kikiwa kimeunganika na Junior Suite kina mwanga mwingi wa mchana unopitia madirisha yanayoanzia kwenye sakafu hadi kwenye dari, vitanda viwili pamoja na sebule kubwa ya kupumzikia, jiko lenye kila kitu, chumba cha pembeni cha kulia chakula na sehemu ya kufanyia kazi, kinafaa kwa familia.
2
105m2
1 x -nu-134
Book Now
Learn More
Sea View Royal Suite
Kwa ukaaji wa starehe ya hali ya juu kabisa ukiwa Dar es Salaam, chumba chetu cha kifahari aina ya Royal Suite chenye mita za mraba 150 na chenye sebule kubwa ya kupumzikia, sehemu ya kulia chakula, vyumba viwili vya kulala, bafu la mgeni na mandhari ya kuvutia ya bandari nzuri ya jiji na anga lake kupitia madirisha yanayoanzia kwenye sakafu hadi kwenye dari. Mwanga wa asili wakati wa mchana pamoja na taa za kuvutia za chumbani hutengeneza mazingira mazuri katika faragha ya jiji hili mahali ambapo unaweza kustarehe au kukutana na marafiki na familia.
3
150m2
1 x -nu-134
Book Now
Learn More
Sea View Room- King Bed
2
0m2
-
Book Now
Learn More
Sea View Room - Twin Bed
2
40m2
2 -nu-136
Book Now
Learn More
City View Room- King Bed
2
40m2
1 x -nu-134
Book Now
Learn More
ﺟﻨﺎح ﺑﻐﺮﻓﺔ ﻧﻮم واﺣﺪة ﻣﻊ دﺧﻮل اﻟﺼﺎﻟﺔ - إﻃلاﻟﺔ اﻟﺒﺤﺮ
2
0m2
-
Book Now
Learn More
ﺟﻨﺎح اﻟﺴﻔﻴﺮ - إﻃلاﻟﺔ اﻟﺒﺤﺮ / اﻟﻤﺪﻳﻨﺔ
2
0m2
-
Book Now
Learn More
اﻟﺠﻨﺎح اﻟﻤﻠﻜﻲ ﺑﺈﻃلاﻟﺔ اﻟﺒﺤﺮ
2
0m2
-
Book Now
Learn More
Johari Rotana
Sokoine Drive
Tanzania
PLAN YOUR VISIT
Directions
T+255 659 070 800
johari.hotel@rotana.com
EXPLORE OUR APP
© Copyright 2025 Rotana Hotel Management Corporation PJSC.
Explore
About Us
Careers
My Bookings
E-Connect
Support
Contact
Media Library
Travel Trade
Terms & Conditions
Privacy Policy
Cookies