Hamilton’s Gastropub | Gastropub iliyochangamka inayoandaa vyakula vya Kiuingereza na Kimarekani |
|
| Noble House | Furahia mapishi halisi ya Kichina katikati ya Jiji la Dar es Salaam |
|
| Zafarani All day dining | Furahia vyakula bora kabisa vya kimataifa ukiwa katika mgahawa wa siku nzima wa Zafarani |
|
| Kibo Lobby Lounge | Ukumbi wa kupumzikia unaotoa huduma za chai, kahawa na vitafunio |
|
| Huduma ya chakula chumbani | Burudika na huduma ya chakula chumbani ya saa 24, kukiwa na menyu ya vitafunio, vinywaji baridi na mapishi ya kimataifa |
|
| The Cigar Lounge | Ukumbi wa Cigar wa kifahari ulioundwa kwa ajili ya wapenzi wa Cigar kufurahia mchanganyiko bora katika mazingira yenye utulivu na staha. |
|
|