ZUNGUMZA NASI | Tuambie kuhusu mahitaji ya tukio lako kisha tutaandaa pendekezo la kina maalumu kwa ajili yako tu | REQUEST PROPOSAL |
|
Johari Rotana ni kituo cha mikutano na matukio ambacho hakifanani na chochote Katikati ya Jiji la Dar es Salaam na ipo karibu na eneo la kibiashara na ofisi za mashirika makubwa. Ikiwa na bwalo la hotelini kubwa kabisa Tanzania, maeneo ya kisasa yenye mwanga wa asili wa mchana na suite ya bibi harusi yenye matumizi mengi, tunaweza kumudu kila tukio kuanzia vikao na mikutano hadi harusi za kihistoria. Pia sisi ni sehemu pekee ya mikutano Dar es Salaam tunaotoa huduma ya Intaneti ya kasi zaidi ya Fibre Optic katika maeneo yote ya umma, vyumba vya wageni na maeneo ya kufanyia mikutano. |