VIEW PHOTOS VIEW MENU VIEW OFFERS NOBLE HOUSE Mapishi ya Kichina
Kufunguliwa hivi karibuni Furahia ladha halisi ya nchi za Mashariki ukiwa kwenye mgahawa wetu mahususi wa vyakula vya Kichina, Noble House; mahali ambapo wapishi wetu wa Kichina wamechagua aina mbalimbali ya vyakula halisi vyenye ladha nzuri ambazo zitakupeleka China bila kutoka Tanzania. Ukiwa na samani za kisasa, mwanga mtulivu na mapambo ya kupendeza ambayo yanaakisi ustadi wa kipekee na haiba ya Mashariki ya Mbali, unaweza kula chakula cha kipekee cha jioni ukiwa na familia, marafiki au wafanyakazi wenzako katika eneo hili mwandani la kulia chakula. Opening Hours: 6.00 pm – 11.00 pm |